Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO - Dkt.
Hassan Abbass akikitunukiwa Shahada yake ya Uzamivu ya Mawasiliano ya Umma (PhD) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania (SAUT) wakati wa Mahafali ya 16
ya chuo hicho leo Jijini Mwanza.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO - Dkt.
Hassan Abbass akipokea shada la maua mara baada ya kutunukiwa Shahada yake ya Udaktari
wa Mawasiliano ya Umma kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania (SAUT)
wakati wa Mahafali 16 ya chuo hicho leo Jijini Mwanza.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO - Dkt.
Hassan Abbass (kushoto) akifurahia jambo na mmoja wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu
cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Fr. Francis Ng’atigwa mara baada ya kutunukiwa
Shahada yake ya Udaktari wa Mawasiliano ya Umma kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu
Agustino Tanzania (SAUT) wakati wa Mahafali 16 ya chuo hicho leo Jijini Mwanza
Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO - Dkt.
Hassan Abbass (wanane kutoka kushoto mstari wa mbele) akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya wahitimu wenzake mara baada ya kutunukiwa Shahada yake ya Udaktari
wa Mawasiliano ya Umma kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino Tanzania (SAUT)
wakati wa Mahafali 16 ya chuo hicho leo Jijini Mwanza.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...