Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye ni mbunge wa Ruangwa
akisalimiana na baadhi ya wananchi wa kijiji cha Manokwe katika wilaya ya Ruangwa ambao
walijitokeza kumsikiliza mbunge wao alipokuwa anawahimiza kufanya kazi
ilikujileta maendelo katika wilaya ya ruangwa Waziri mkuu yupo Jimboni Ruangwa
kwa ziara ya kikazi.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye ni mbunge wa Ruangwa
akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Manokwe katika wilaya ya Ruangwa ambao
walijitokeza kumsikiliza mbunge wao alipokuwa anawahimiza kufanya kazi
ilikujileta maendelo katika wilaya ya ruangwa Waziri mkuu yupo Jimboni Ruangwa
kwa ziara ya kikazi

kwa ziara ya kikazi .
Wananchi wa kijiji cha Nga’u kilichopo wilaya ya Ruangwa
wakiwa wamejikinga mvua kwakutumia viti
wakati wakimsikiliza mbungewao Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokuwa
akiwahutubia kwa ajili yakuhimiza shughuli za maendeleo jimboni Ruangwa Mkoani
Lindi.Picha na Chris Mfinanga
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...