Mshindi
bora katika kipengele cha kujibu maswali kwa umahiri, Adamson Nsimba kutoka
shule ya sekondari St. Joseph mara baada ya kutangazwa mshindi. Adamson amezawadiwa Laptop.
Washindi wa kwanza wa masuala ya kodi katika mashindano
ya vilabu vya kodi kutoka shule ya Sekondari Loyola wakifurahia ushindi mara
baada ya kutangazwa kuwa washindi.
Washindi wa kipengele cha uwasilishaji wa mada kutoka
shule ya sekondari ya Shaaban Robert katika picha ya pamoja na Mwalimu wao
kutoka TRA Bw. Patrick Massawe (mwenye tisheti ya njano) mara baada ya
kutangazwa washindi katika mashindano yaliyofanyika Desemba 2, 2016
jijini Dar es Salaam. Kwa habari kamili BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...