Baadhi ya mabanda ya maonesho ya Wajasiriamali katika viwanja vya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnazi Mmoja Mjini Unguja, ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitembelea mabanda ya maonesho ya wajasiriamali wa Vikundi mbali mbali leo akiwa na Waziri wa Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana, Wanawake na Watotio Mh,Moudline Cyrus Castico(kushoto) kabla ya kuzindua Kongamano la Wajasiriamali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho ya wajasiriamali wa Vikundi mbali mbali leo kabla ya kuzindua Kongamano la Wajasiriamali. Picha na Ikulu.
![]() |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizindua Kongamano la Wajasiriamali katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnazi Mmoja Mjini Unguja leo Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...