Ofisa Mtendaji Mkuu wa Zantel
Tanzania, Benoit Janin (katikati), akizungumza na baadhi ya wateja na
mawakala wa kampuni hiyo mjini Zanzibar nje ya Soko la Malindi jana, ili kupata
mawazo yao juu ya ubora wa huduma na bidhaa za Zantel wazipatazo na jinsi ya
kuzoboresha.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Zantel
Tanzania, Benoit Janin (katikati), pamoja na baadhi ya maofisa wa kampuni hiyo
wakimsikiliza mmoja wa mawakala wao, Juma Abdallah Safi (kulia), nje ya Soko la
Malindi, Zanzibar jana, walipokwenda kuwatembvelea mawakala na wateja wa
kampuni hiyo ili kupata mawazo yao juu ya ubora wa huduma na bidhaa za Zantel
wazipatazo na jinsi ya kuzoboresha.
Mkuu wa Zantel, Mohamed Khamis Baucha (kulia),
akizungumza na baadhi ya wateja wao nje ya soko la Malindi, Zanzibar jana
walipokwenda kuwatembvelea mawakala na wateja wa kampuni hiyo ili kupata mawazo
yao juu ya ubora wa huduma na bidhaa za Zantel wazipatazo na jinsi ya
kuzoboresha.
Meneja Biashara Wateja wa
Makampuni wa Zantel Kassongo Faraji (kulia), Ofisa Mauzo na Usambazaji, Mabuga
Abdallah (wa pili kulia), wakimsikiliza mmoja wa mawakala wa Zantel mjini
Zanzibar jana walipokwenda kuwatembvelea mawakala na wateja wa kampuni hiyo ili
kupata mawazo yao juu ya ubora wa huduma na bidhaa za Zantel wazipatazo na
jinsi ya kuzoboresha.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...