Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimtunuku Shahada ya Uzamili ya Sayansi ya Kemia "MASTER OF SCIENCE IN CHEMISTRY"Nd.Issa Juma Salim katika sherehe ya mahfali ya kumi na mbili ya chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimtunuku Shahada ya Uzamili ya Sayansi ya Mazingira "MASTER OF SCIENCE IN ENVIROMENTAL SCIENCE" Saklim Masoud Msabaha katika sherehe ya mahfali ya kumi na mbili ya chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kutoa hutuba yake kwa wananchi katika sherehe ya mahfali ya kumi na mbili ya chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja. Picha na Ikulu.
Habari kamili BOFYA HAPA
Habari kamili BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...