Nimengi yameshazungumzwa juu ya samaki Nguvu, wengi wamekuwa wakisema samaki huyu anaumbo la binadamu , yaani kuanzia kichwani hadi kiuononi anaumbo la binadamu, na kuanzia kiunoni kushuka chini ana umbo la samaki, Hivyo kama kawaida yetu Ruvuma Tv tupo kuhabarisha umma , leo tumekuandalia makala ya dakika 3 kuhusu samaki huyu ajulikanaye kwa jina la SAMAKI NGUVA. Tizama makala hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...