Sheria Na 4 sura ya 113 Sheria ya Ardhi ndiyo sheria inayotawala habari nzima ya upangaji na upangishaji. Mpangaji ni mpangaji anajulikana lakini swali ni kama baada ya kupangishwa na yeye anaweza kupangisha. Hata hivyo kabla ya hilo tutizame vipengele muhimu vinavyotakiwa kuwa katika mkataba wa upangaji.
Ni muhimu kuangalia vipengele hivi kwasababu suala la uwezo wa mpangaji naye kupangisha ni moja kati ya migogoro kati ya wenye nyumba na wapangaji ambayo husababishwa na mikataba isiyoshiba kwa vipengele muhimu. Kusoma zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...