Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Makamo wa Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Korea KOICA Bw.Wooyong Chung akiwa na ujumbe aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Korea KOICA unaoongozwa na Makamo wa Rais wa Shirika hilo Bw.Wooyong Chung (wa pili kulia) mara walipofika Ikulu Mjini Zanzibar. Picha na IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...