Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiwasili kwenye Mkutano wa Nane wa mwaka wa Chama cha Majaji Wanawake
Tanzania (TAWJA) kwa ajili ya kuufunga leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman na kulia ni Mwenyekiti wa
TAWJA ambaye pia ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Tanga Mhe. Iman
Abood.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
(kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa TAWJA Mhe. Jaji Iman Abood (hayupo pichani)
akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Nane wa mwaka wa Chama cha Majaji
Wanawake Tanzania (TAWJA). Katikati ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed
Chande Othman na kushoto ni Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akifungua Mkutano wa Nane wa mwaka wa Chama cha Majaji Wanawake
Tanzania (TAWJA leo jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiwa na Mwenyekiti wa TAWJA Mhe. Jaji Iman Abood wakati wa Mkutano wa
Nane wa mwaka wa Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA leo jijini Dar es
salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea risala toka kwa Mwenyekiti wa TAWJA Mhe. Jaji Iman Abood wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Nane wa mwaka wa Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA) leo jijini Dar es salaam
Sehemu ya wageni na wajumbe wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Nane wa mwaka wa Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA) leo jijini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...