Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Leonard Chamriho akitoa salamu kwa niaba ya serikali wakati 
 wakati wa  kuaga mwili wa Rubani na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) marehemu Kenan Mhaiki Rubani  wakati wa shughuli ya kuaga mwili wake iliyofanyika nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam Januari 2 2017. Mwili wa marehemu umesafirishwa jana  kwenda Songea mjini mkoani Ruvuma kwa mazishi yanayotayarajiwa kufanyika leo Januari 4, 2017   kwenye Makaburi ya Matogoro.

 Waombolezaji wakimpa mkono wa pole kaka wa marehemu Bw. Oliver Mhaiki
Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu  Balozi Ombeni Sefue akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Kenani Mhaiki Rubani Mstaafu wa ndege za marais wa Tanzania wakati wa shughuli ya kuaga mwili wake iliyofanyika Kunduchi, jijini Dar es Salaam jana. Mwili wa marehemu umesafirishwa jana kwenda Mkoani Ruvuma kwa mazishi yanayotayarajiwa kufanyika Januari 4 2017.

Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akitoa heshima zake za mwisho 
Picha na Robert Okanda. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...