
Familia inapenda kuwashukuru kwa ushirikiano wao Raisi Mstaafu Dr Jakaya Kikeete,Waziri MKuu mstaafu Cleopa Msuya,Naibu Speaker Dr Tulia Ackson,Mbunge wa Chalinze muheshimiwa Ridhiwani Kikwete viongozi wengine wa mbalimbali wa seri Kali walioweza kufika na kushirikiana Nao katika msiba wa baba yao.
Tunapenda pia kuwashukuru IPP media,redio clouds na groove back entertainment,pia tunapenda kuwashukuru Misokia catering
Tunapenda kuushukuru uongozi wa Yanga na TFFA
Familia inapenda kutoa shukrani zao kutoka Moyoni kwa wote mlioshiriki katika msiba huu.
DUA:
Famila ya marehemu mzee Hamadi Kiluvia inapenda kuwakaribisha Kwenye hitmah Dua ya kumaliza msiba itayofanyika nyumbani kwa marehemu no93 Regent Estate migombani road Siku ya tarehe 07/01/2017 kwa kuelekezwa piga no 0768768284 or 0657755555
Asanteni sana,
Mungu awabiriki.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...