Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Dkt. Leonard Chamliho (kushoto) akiangalia moja ya chapisho la vitabu wakati alipotembelea banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) jijini Mwanza jana, kwenye maonyesho ya kongamano la Mazingira la watafiti za kisayansi na mazingira zilizofanywa kwenye bonde la ziwa Victoria (Environmental Research and Science), Kulia ni Afisa Habari wa Mamlaka hiyo Bestina Magutu.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,u chukuzi na Mawasiliano Mhandisi Dkt. Leonard Chamliho( wasita waliosimama kutoka kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafriri wa Anga Tanzania (TCAA) mara baada ya kutembelea banda la TCAA kwenye maonyesho ya kongamano la Mazingira la watafiti za kisayansi na mazingira zilizofanywa kwenye bonde la ziwa Victoria (Environmental Research and Science),yaliyofanyika mwanza jana.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...