Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan amewasili mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Bw. Said Meck Sadik pamoja na viongozi wengine wa Serikali
pamoja na Chama Cha Mapinduzi katika uwanja wa ndege wa KIA. (Picha na
Ofisi ya Makamu wa Rais).Makamu wa Rais atahudhuria sherehe za wafanya kazi Mei Mosi zitakazofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...