Sheikh Shariff Majini ameongeza siku mbili zaidi za kukaa Dodoma na sasa atakuwepo leo Jumatatu Mei 22, na kesho Mei 23, 2017. Sheikh ataendelea kutoa huduma ya Visomo na Dua kwa siku mbili hizo kuanzia saa mbili asubuhi mpaka sita mchana. 
 Baada ya kumaaliza hizo siku mbili siku ya Jumatano Sheikh anaanza safari ya kuelekea Arusha kwa ajili ya mkutano wa akina mama utakaofanyika siku ya Jumapili tarehe 28 May katika ukumbi wa C.C.M Mkoa. Pichani ni matukio mbalimbali yakimuonyesha sheikh akifanya Dua na visomo jana Jumapili  Mei 21, 2017 kwenye ukumbi wa Kamanda Mbogo uliopo mjini Dodoma.



 Sheikh shariff Majini  akiendelea na mkutano katika ukumbi wa Kamanda Mbogo uliopo jirani na chuo cha CBE mjini Dodoma wikiendi hii
 Sheikh Shariff Majini  akiendesha mkutano huo katika ukumbi wa Kamanda Mbogo uliopo jirani na chuo cha CBE mjini Dodoma wikiendi hii
 Sheikh Shariff Majini  akiendesha mkutano huo katika ukumbi wa Kamanda Mbogo uliopo jirani na chuo cha CBE mjini Dodoma wikiendi hii
Sheikh Shariff Majini  akiombea wahudhuriaji kwenye  mkutano huo katika ukumbi wa Kamanda Mbogo uliopo jirani na chuo cha CBE mjini Dodoma wikiendi hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...