Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mheshimiwa Mhandisi Atashasta Ndetiye akiongoza semina ya Wabunge wote inayohusu umuhimu wa uhifadhi wa Maliasili Malikale na Maendeleo ya Utalii nchini Tanzania, iliyofanyika leo Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma. kushoto kwake ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Prof. Jumanne Maghembe
Mbunge wa Viti Maalum, Mheshimiwa Amina Mollel akizungumza jambo wakati wa semina ya Wabunge wote iliyoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii inayohusu umuhimu wa uhifadhi wa Maliasili Malikale na Maendeleo ya Utalii nchini Tanzania, iliyofanyika leo Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...