Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sophia Mjema mara baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa Kimataifa wa JK Nyerere akitokea mkoani Lindi
ambako alifunga maadhimisho ya 24 ya sherehe ya Siku ya Mkulima (Nane
Nane) kwenye viwanja vya Ngongo jana. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...