Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa
Ufunguzi wa Kikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na
Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR).Majadiliano hayo yamehusu
masuala ya uhifadhi wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi
walioko katika Kambi mbalimbali nchini.Kikao hicho kimefanyika leo,
jijini Dar es Salaam
Mwakilishi wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) nchini Tanzania, Chansa Kapaya, akichangia hoja wakati wa Kikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika hilo .Majadiliano hayo yamehusu masuala ya uhifadhi wa wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko katika Kambi mbalimbali nchini.Kushoto ni Makamu Kamishna Mkuu wa Shirika hilo, Volker Turk .Kikao hicho kimefanyika leo, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (wanne kulia waliokaa), Makamu Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), Volker Turk(watano kulia waliokaa), wakiwa katika picha ya pamoja na washriki wa Kikao cha Majadiliano ya Ngazi za Juu kati ya Serikali na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR).Majadiliano hayo yamehusu masuala ya uhifadhi wakimbizi na suluhisho la kudumu la wakimbizi walioko katika Kambi mbalimbali nchini.Kikao hicho kimefanyika leo, jijini Dar es Salaam.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...