Baadhi ya Mawakili wakiendelea na shughuli zao za Uwakili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam mapema leo licha ya kuwepo kwa Agizo kutoka baraza la Chama cha Mawakili nchini (TLS) lililotolewa na Rais wa chama hicho, Tundu Lisu kuwataka Mawakili wote nchini kususia shughuli za Mahakama kwa muda wa siku Mbili (Jumanne na Jumatano), baada ya kutokea Milipuko katika Ofisi za Mawakili za IMMMA ADVOCATES zilizopo upanga jijini Dar es salaam, inayodaiwa kulipuliwa na watu wasiojulikana mapema.
Baadhi ya Mawakili wakiendelea na shunghuli zao za Uwakili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mapema leo

Baadhi ya Mawakili wakiendelea na shunghuli zao za Uwakili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mapema leo
Baadhi ya Mawakili wakiendelea na shunghuli zao za Uwakili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mapema leo .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...