Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimsalimia Mtoto Samira Mussa miezi Miwili aliyechukuliwa na dada yake Lussia Mussa Miaka Kumi na tano wanaoishi katika Kijiji cha Kiziwani Shungi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,aliwasalimia baada ya   kutembelea Shamba la Mikarafuu leo,akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya hiyo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika Kijiji cha Kiziwani Shungi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya hiyo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kulifungua Tawi la CCM Tibirinzi leo akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...