Mratibu wa Kongamano la CCCB,Shabani Yusuph (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu ufunguzi wa kongamano hilo litakalo fanyika Septemba 19-20 mwaka huu katika hoteli ya Ramada Mbezi Beach jijini Dar es Salaam,a,ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa ni Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk Hamis Kigwangalla.kushoto ni Mkufunzi wa Vijana,Hamza Jabir
Mkufunzi wa Vijana,Hamza Jabir akifafanua jambo kwenye mkutano huo uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...