Mchungaji Ipyana Mwamugobole wa mjini Wuppertal nchini Ujerumani ameandika na kuchapisha kitabu kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzi wa vyuo na wa sekondari katika kushinda majaribu au challenges wanazokabiliana nazo wawapo kwenye mazingira ya masomo. Kitabu kinaitwa:NGUVU YA MUNGU DHIDI YA MAJARIBU YANAYOWAKABILI WANAFUNZI VYUO VYA ELIMU YA JUU . Yeyote anayetaka kitabu hiki awasiliane naye kwa whatsapp namba hii: +4915216408459.
Home
Unlabelled
KITABU: NGUVU YA MUNGU DHIDI YA MAJARIBU YANAYOWAKABILI WANAFUNZI VYUO VYA ELIMU YA JUU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...