Bango la pili la filamu mpya ya NDOTO YA wana Diaspora wa Kitanzania waishio Ufaransa limeachiwa rasmi kusisitiza ujio wa filamu hiyo inayosubiriwa kwa hamu kila kona ya dunia. Yaani baada ya kupasha kwa bango la kwanza kuonyesha baadhi ya waigizaji nyota, mara hii bango linaonyesha wahusika wapya na waandaaji wakikwambia kaa mkao wa kula na tegemea mazuri!
Home
Unlabelled
filamu mpya ya NDOTO YA wana Diaspora wa Kitanzania waishio Ufaransa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...