Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, yupo Kampala nchini Uganda,
kushiriki Mkutano wa 19 wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi ya Nchi za
Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) ulioanza 13-15 Septemba 2017 ukiwa na malengo
ya kujadiliana kwa pamoja namna ya kupambana na uhalifu unaovuka mipaka
(Cross Border Organized Crimes) na kubadilishana uzoefu wa kiutendaji pamoja
na kuimarisha Ushirikiano miongoni mwa Majeshi ya Polisi.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa 19 wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya
Polisi ya Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) unaofanyika Kampala nchini
Uganda, wakifuatilia mada inayowasilishwa mbele yao katika mkuatano ulioanza
13-15 Septemba 2017 ukiwa na malengo ya kujadiliana kwa pamoja namna ya
kupambana na uhalifu unaovuka mipaka (Cross Border Organized Crimes) na
kubadilishana uzoefu wa kiutendaji pamoja na kuimarisha Ushirikiano miongoni
mwa Majeshi ya Polisi, katika mkuatano huo yupo pia Mkuu wa Jeshi la Polisi
Nchini (IGP) Simon Sirro. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...