Kamishna
Msaidizi wa Polisi (ACP) Andrew Sattaa akiwakabidhi bendera ya Taifa kwa niaba
ya Mkuu wa Jeshi hilo (IGP) Simon Sirro, askari wa Jeshi hilo wanaokwenda
Darful, nchini Sudani kushiriki shughuli za Ulinzi wa amani ambapo amewataka askari
hao kufanya kazi kwa weledi na kwa kufuata taratibu kwa kipindi chote
watakachokuwemo nchini humo. Picha na Jeshi la Polisi
Kamishna
Msaidizi wa Polisi (ACP) Adrew Satta, akimuwakilisha Mkuu wa Jeshi la Polisi
IGP Simon Sirro, akiwaaga askari wanaokwenda kushiriki shughuli za Ulinzi wa Amani
Darful Nchini Sudan, ambapo amewataka askari hao kufanya kazi kwa weledi na kwa
kufuata taratibu kwa kipindi chote watakachokuwemo nchini humo. Picha
na Jeshi la Polisi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...