Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dorothy Mwanyika akimkabidhi Tuzo ya Chombo bora cha habari mwaka 2017
(Magazeti), Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN), Dk. Jim Yonazi
(kulia) baada ya Kampuni hiyo kuibuka mshindi katika tuzo za mwaka huu
zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake.
Katikati ni Ofisa
Mtendaji Mkuu wa DSE,
Moremi Marwa. (Picha:Mroki Mroki/TSN Digital).
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dorothy Mwanyika akimkabidhi Tuzo ya Chombo bora cha habari mwaka 2017
(Digital), Kaimu Mkurugenzi wa habari na Matukio wa TBC, Prudence Costantine (kulia) baada ya Kampuni hiyo kuibuka mshindi katika tuzo za mwaka huu
zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake.
Katikati ni Ofisa
Mtendaji Mkuu wa DSE,
Moremi Marwa.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dorothy Mwanyika akimkabidhi Tuzo kwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani (kulia) baada ya Benki hiyo kuibuka mshindi katika tuzo za mwaka huu
zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake.
Katikati ni Ofisa
Mtendaji Mkuu wa DSE,
Moremi Marwa.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dorothy Mwanyika akimkabidhi Tuzo Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania,(TBL), Bruno Zambrano (kulia) baada ya Kampuni hiyo kuibuka mshindi katika tuzo za mwaka huu
zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake.
Katikati ni Ofisa
Mtendaji Mkuu wa DSE,
Moremi Marwa.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dorothy Mwanyika akimkabidhi Tuzo kwa Meneja Mwandamizi wa Benki ya NMB anaeshughulika na Mikakati na mahusiano ya wawekezaji, Anna Mwasha (kulia) baada ya Benki hiyo kuibuka mshindi wa pili katika tuzo za mwaka huu
zinazotolewa na Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE) kwa wanachama na wadau wake.
Katikati ni Ofisa
Mtendaji Mkuu wa DSE,
Moremi Marwa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...