Kwaya ya St. Albans Cathedral ya Anglican jijini Dar es salaam ipo mjini Lusaka, Zambia, ambako imeungana na wenzao kutoka Pembroke College Choir ya Uingereza katika kusherehekea sikukuu ya Cathedral Holly Cross ya Lusaka na kushiriki kwa pamoja katika misa ya asubuhi leo
Kwaya ya St. Albans Cathedral ya Anglican jijini Dar es salaam ikiimba katika kusherehekea sikukuu ya Cathedral Holly Cross ya Lusaka na kushiriki kwa pamoja katika misa ya asubuhi leo
Kwaya ya Pembroke College Choir ya Uingereza ikiimba katika kusherehekea sikukuu ya Cathedral Holly Cross ya Lusaka na kushiriki kwa pamoja katika misa ya asubuhi leo
Kwaya ya St. Albans Cathedral ya Anglican jijini Dar es salaam ikiimba katika kusherehekea sikukuu ya Cathedral Holly Cross ya Lusaka na kushiriki kwa pamoja katika misa ya asubuhi leo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...