Siku kama ya leo tarehe 19 September ndio siku ya kuzaliwa mkuu wa bendi ya Ngoma Africa aka FFU ya kule Ujerumani, mwanamuziki Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja aka mkuu wa viumbe wa ajabu "Anunnaki Alien" alizaliwa mjini Dar-es-Salaam, akiwa mtoto wa kwanza wa kiume wa Mzee Jumanne Saleh Makunja Ngayonga (RIP) na Bi. Moza Hassan Seifu Mpili (Mama Makunja).
Mwanamuziki Kamanda Ras Makunja mtunzi na mwimbaji mahili wa muziki wa dansi leo ndio Happy Birthday yake!!! Hivyo anakukaribisha
kuburudika na kusherekea naye katika kambi yao FFU-Ughaibuni www.reverbnation.com/ngomaafri caband


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...