Mbunge
wa kawe,Halima Mdee, Mbunge jimbo Bunda, Ester Bulaya na
Msaanii Wa bongo Movie,Wema Sepetu wakiwa katika mahakama ya Hakimu
Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam leo. Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya walikuwa wametoka
kusomewa mashtaka yanayowakabili, huku Wema Sepetu akiwa amewasili kwa ajili ya kusikiliza kesi yake.
Home
Unlabelled
MDEE, BULAYA NA WEMA SEPETU WAKIWA KISUTU LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...