Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar
es salaam leo Septemba 11, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimwangalia
Profesa Ibrahim Hamis Juma akitia sahihi hati ya kiapo baada ya
kumuapisha kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo
Septemba 11, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiweka
sahihi hati ya kiapo baada ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa
Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 11, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi
nyezo za kazi baada ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji
Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 11, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea
baada ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa
Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 11, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika Job Ndugai, Profesa Ibrahim Hamis
Juma, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Sheria na Katiba Profesa
Palamagamba kabudi na Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman
katika picha ya kumbukumbu baada ya Rais kumuapisha Profesa Ibrahim
Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo
Septemba 11, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Spika Job Ndugai, Profesa Ibrahim Hamis
Juma, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Sheria na Katiba Profesa
Palamagamba kabudi na Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman
katika picha ya kumbukumbu na Majaji wa Mahakama ya Rufaa na wa Mahakama
kuu baada ya Rais kumuapisha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu
wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 11, 2017.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...