Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Dkt.Grace Magembe akitoa maelekezo kwa wananchi waliofika katika
upimaji wa afya kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja leo jijini Dar es Salaam.
Wazazi na walezi wakiendelea
kumiminika kusajili watoto wao na bima ya afya ya Toto Afya Kadi kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja ikiwa ni kampeni
ya Afya Mkoa wa DSM. Pichani watumishi wa NHIF wakiendelea na uandikishaji .
Maafisa wa NHIF wakitoa maelekezo kwa wazazi namna ya kujaza fomu za bima ya Toto Afya Kadi, leo katika viwanja vya
Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Masoko wa Tanga Fresh
Ltd, Ally Sechonge akigawa maziwa kwa wananchi waliofika katika upimaji wa afya ndani ya viwanja vya Mnazi
Mmoja leo jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya wananchi waliofika
katika upimaji wa afya ndani ya viwanja vya Mnazi Mmoja leo jijini Dar es Salaam.(Picha
na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...