Watu 12 wamefariki dunia na wengine
watatu kujeruhiwa baada ya daladala waliyokuwa wakisafiria, kutumbukia katika
fukwe za Ziwa Victoria katika eneo la Kingo Feri wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza.
Ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa
tano asubuhi baada ya daladala hiyo yenye nambari za usajili T.229 DDW Toyota
Hiace iliyokuwa ikitokea Buhongwa Jijini Mwanza kwenda kivukoni hapo kudaiwa
kukatika breki ikiwa kwenye mwendo kasi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...