Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Bibi. Sihaba Nkinga akiwashukuru wadau wa masuala ya watoto wakati wa kikao na wadau hao kutoka Shirika la JSI kujadili Rasimu ya Mfumo Jumuishi wa Kitaifa wa Usimamizi wa Mashauri ya Watoto na Mwongozo wa Kitaifa wa Utambuzi wa Watoto Wanaoishi Katika Mazingira Hatarishi kilichofanyika katika Ukumbi wa Wizara ulipo UDOM Dodoma.
Afisa Ustawi wa Jamii, Dkt. Philibert Kawemame akiwasilisha kwa Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga(wanne kushoto) Rasimu ya Mfumo Jumuishi wa Kitaifa wa Usimamizi wa Mashauri ya Watoto na Mwongozo wa Kitaifa waUtambuzi wa Watoto Wanaoishi Katika Mazingira Hatarishi katika kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Wizara ulipo UDOM Dodoma.
Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira Mushi akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga(kulia) kuhusu Rasimu ya Mfumo Jumuishi wa kitaifa wa Usimamizi wa Mashauri ya Watoto na Mwongozo wa Kitaifa wa Utambuzi wa Watoto Wanaoishi Katika Mazingira Hatarishi katika kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Wizara ulipo UDOM Dodoma.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...