Mwanamuziki mkongwe wa bongo fleva Khalid Mohammed 'TID Mnyama' Akiwa amebebwa juu na Mashabiki waliofia Kilimani bara wakati wa Tamasha la Mziki Mnene linaloendeshwa na Rdio ya EFM kupitia programu ya nje ndani.
Mwanamuziki mkongwe wa bongo fleva Khalid Mohammed 'TID Mnyama' akiimba na Mashabiki wakati wa Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam
RdJ Mamy akifanya vitu vyake katika Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam
RDJ Majey Majizo akicheza na Tantable wakati wa Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam
Msanii wa Muziki wa Singeli Manfongo akiimba wakati wa Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam
Msanii wa Bongo Fleva Shetah akiimba na Mashabiki wakati wa Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam
RDJ SPUR akionyesha ufundi wa kuchez ana mashine wakati wa Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam
Mkali wa Muziki wa Singeli nchini , Virus Mdudu akifanya mashambulizi katika jukwa la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam
Mtangazaji wa Kipindi cha Genge , Pido akifanya yake kwenye Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam
Mashabiki walifika katika Tamasha la Mziki Mnene lililofanyika Kilimani Bar Kimara Temboni Jijini Dar es Salaam
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...