Mwandishi na Mtunzi wa Kitabu cha Taken For Ride, Dkt. Matteo Rizzo akitoa ufafanuzi juu ya kitabu hicho kinachozungumzia biashara ya Daladala nchini mpaka kufikia kwenye mradi wa mabasi yaendayo Haraka, Mwandishi huyo ameonesha katika kitabu hicho namna biashara ya daladala nchini na katika Uchumi wa mtu mmojammoja wa madereva na Makonda.
Mtafiti wa Taasisi ya Repoa, Dkt. Blandina Kilama akifafanua jambo baada ya kuwasilishwa kwa kitabu cha Taken to Ride kilichoandikwa na Mtafiti, Dkt. Matteo Rizzo.
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Zubeir Kabwe akichangia mada wakati wa mjadala wa kitabu hicho uliofanyika katika ukumbi wa Repoa Mikocheni Jijini Dar es Salaam.
Mchambuzi wa masuala ya uchumi nchini, Profesa Honest Ngowi akichangia mada baada ya kuzinduliwa kwa kitabu hicho
Baadhi ya walioshiriki katiika uzinduzi wa kitabu kinachozungumzia masuala ya Daladala na kugusia uchumi katika usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dart.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...