Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akijadiliana jambo na
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Profesa Kitila Mkumbo,walipokutana leo
katika tamasha la maadhimisho ya miaka 500 ya kanisa la KKKT
lililofanyika katika Uwanja wa Taifa.Wakwanza kulia ni Waziri Mkuu
Mstaafu Frederick Sumaye .
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akimsisitizia jambo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Profesa Kitila Mkumbo walipokutana kwenye
Tamasha la maadhimisho ya miaka 500 ya Kanisa la KKKT lililofanyika
kwenye uwanja wa Taifa jijini hapa.
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akiwa na Waziri Mkuu
Mstafu Frederick Sumaye wa kwanza kushoto ,kwenye tamasha la Maadhimisho
ya miaka 500 ya kanisa la KKKT lililofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa
jijini hapa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...