Timu ya mpira wa miguu ya Albino United jijini Dar es Salaam majuzi ilipata fursa ya kutembelea hifadhi ya Mikumi na kujionea vivutio kibao vya kitalii katika ziara iliyoandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kama njia mojawapo ya kupromoti utalii wa ndani.

Picha na Augustina Makoye wa TTB.
Picha na Augustina Makoye wa TTB.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...