Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC, Hawa Hamis (kushoto)akimwelewesha jambo Mwanakomba Shabani,Kuhusiana na huduma ya M-Pesa wakati wa mkutano wa akina mama uliojulikana kama"Atukuzamu Women of Conference" uliofanyika jijini Dar es Salaam kwa Udhaminiwa na Vodacom Tanzania PLC.
Meneja wa kitengo cha M-PESA wa Vodacom Tanzania PLC,Noel Mazoya (kushoto) akiongea na wanawake wajarisiliamali kuhusiana na huduma M-Pesa inayotolewa na kampuni hiyo wakati wa Kongamona la wanawake la"Atukuzamu Women of Conference"uliofanyika katika ukumbi wa City Christian Center( CCC) jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania PLC,Anayeshuhudia kulia ni mshereheshaji wa mkutano huo,Jimmy Byamungo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...