Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akiongoza Kikao kazi cha siku moja cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza, Kikao hicho kimefanyika leo Desemba 1, 2017 katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Gereza Kuu Isanga, Mkoani Dodoma.
Baadhi ya Wakuu wa Magereza Mikoa pamoja na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakifuatilia kwa makini maelekezo kutoka kwa Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(hayupo pichani)katika Kikao kazi kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Bwalo la Gereza Kuu Isanga, Mkoani Dodoma.
Kamishna wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga akiwasilisha taarifa fupi katika Kikao kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi hilo kilichofanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Gereza Kuu Isanga, Mkoani Dodoma.
Wajumbe wa Sekretarieti wakifuatilia kikao kazi hicho kilichoongozwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza leo Desemba 1, 2017 katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Gereza Kuu Isanga, Mkoani Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...