Naibu waziri wa maji na umwagiliaji JUMAA AWESO ameagiza kukamatwa kwa mkanadarasi anayeitwa COSMAS ENGEERING kwa kushindwa kukamilisha maradi wa maji katika katika kijiji cha MILONDE wilayani TUNDURU mkoani RUVUMA huku akidawa kulipwa kiasi cha shilingi million 500, amri hiyo ameitoa baada ya mkandarasi huyo kukimbilia kusikojulikana naibu.habari kamili hii hapa video yake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...