
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (katikati) na Mkurugenzi wa Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Pastoralist Women Council, Manda Ngoitika baada ya kikao kilichowahusisha baadhi ya Mawaziri, Makatibu Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Kamati Shirikishi ya Jamii kuhusu utatuzi wa Mgogoro wa Pori Tengefu la Loliondo kilichofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu, mjini Dodoma Desemba 6, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao kilichowahusisha baadhi ya Mawaziri, Makatibu Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Kamati Shirikishi ya Jamii kuhusu utatuzi wa Mgogoro wa Pori Tengefu la Loliondo kilichofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu, mjini Dodoma Desemba 6, 2017. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...