Wachezaji wa mpira wa wavu wa Tanzania (jezi ya bluu) na wachezaji wa mpira wa wavu wa Kenya (nyeupe) wakichuana ikiwa ni Muendelezo wa Mashindano ya Nane ya Mabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyoanza jana katika uwanja wa Taifa Mjini Dar es Salaam, Tanzania.
Wachezaji wa mpira wa wavu wa Tanzania (jezi ya bluu) na wachezaji wa Kenya (nyeupe) wakijiandaa kwa ajili ya kuanza mchezo baina yao uliofanyika leo katika uwanja wa ndani wa Taifa, Tanzania ikiwa ni Muendelezo wa Mashindano ya Nane ya Mabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyoanza jana katika uwanja wa Taifa Mjini Dar es Salaam, Tanzania.
Wachezaji wa Timu ya mpira wa wavu wa Tanzania wakijadiliana wakati wa mapumziko wakati wa mchezo baina yao na kenya katika Muendelezo wa Mashindano ya Nane ya Mabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyoanza jana katika uwanja wa Taifa Mjini Dar es Salaam, Tanzania.
Mashabiki wa Timu ya Tanzania wakishangilia wakati timu ya mpira wa wavu ya Tanzania ikicheza na timu ya mpira wa wavu ya Kenya leo katika uwanja wa ndani wa Taifa, Tanzania katika Muendelezo wa Mashindano ya Nane ya Mabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyoanza jana katika uwanja wa Taifa Mjini Dar es Salaam, Tanzania.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...