Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Sekta ya Ujenzi, Bi. Elizabeth Tagora, akifungua rasmi warsha ya siku
moja, ya wadau wa ujenzi, kujadili mapitio ya Sera mpya ya Ujenzi, mjini Dodoma.
Mwezeshaji wa mapitio ya Sera mpya ya Ujenzi, Bw. Cyril Batalia akifafanua jambo kwa
wadau wa sekta ya ujenzi,wakati wa warsha ya kujadili na kuboresha sera hiyo, mjini
Dodoma.
Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Sekta ya Ujenzi, Bi. Elizabeth Tagora (katikati), akiwa katika picha ya
pamoja na wadau wa sekta ya Ujenzi mara baada ya kujadili mapitio ya Sera mpya ya
Ujenzi, mjini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...