Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika
mazungumzo rasmi na Rais Paul Kagame wa Rwanda na ujumbe wake Ikulu
jijini Dar es salaam leo Januari 14, 2018
Rais Paul Kagame wa Rwanda akiongea na vyombo
vya habari baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku moja
nchini Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 14, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli na akiongea na vyombo vya habari baada ya mazungumzo yake
rasmi na Rais Paul Kagame wa Rwanda Ikulu jijini Dar es salaam leo
Januari 14, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsindikiza mgeni wake Rais Paul Kagame wa Rwanda baada ya ziara yake
ya kikazi ya siku moja nchini leo Januari 14, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsindikiza mgeni wake Rais Paul Kagame wa Rwanda baada ya ziara yake
ya kikazi ya siku moja nchini leo Januari 14, 2018
Rais Paul Kagame wa Rwanda akiagana na viongozi mbalimbali baada ya
kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku moja nchini Ikulu jijini Dar
es salaam leo Januari 14, 2018 Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari
14, 2018
Rais Paul Kagame wa Rwanda akiagana na viongozi mbalimbali baada ya
kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku moja nchini Ikulu jijini Dar
es salaam leo Januari 14, 2018 Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari
14, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na mgeni wake Rais Paul Kagame wa Rwanda baada ya ziara yake
ya kikazi ya siku moja nchini leo Januari 14, 2018.PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...