CHUO KIKUU CHA TUMAINI MAKUMIRA, KILICHOPO USA-RIVER, ARUSHA KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2018/2019 KAMA IFUATAVYO:

ASTASHAHADA (CERTIFICATE)
1. Astashahada (Certificate) ya ICT (mwaka 1)
2. Astashahada (Certificate) ya Usimamizi wa Biashara/ Business Administration (mwaka 1)
3. Astashahada (Certificate) ya Uhasibu (Accounting) (mwaka 1)
4. Astashahada (Certificate) ya Sheria/Certificate in Law (mwaka 1)

Sifa zinazohitajika:
· Mwombaji awe na ufaulu wa kuanzia alama “D” katika masomo manne.
AU
· Ufaulu wa kiwango cha ‘subsidiary’ kwa Kidato cha 6

KOZI ZA STASHAHADA (ORDINARY DIPLOMA) 

5. Stashahada/Diploma (NTA Level 5 & 6) katika ICT (miaka 2)
6. Stashahada/Diploma (NTA Level 5& 6) Usimamizi wa Biashara/Business Administration (miaka 2)
7. Stashahada/Diploma (NTA Level 5 & 6) katika Uhasibu/Accounting (miaka 2)
8. Stashahada ya Sheria /Diploma in Laws (mika 2)

Sifa zinazohitajika:

· Mwombaji awe na Cheti cha NTA Level 4 kutoka chuo kinachotambulika na NACTE
AU
· Ufaulu kwa kiwango cha “Principle” moja (1) na “Subsidiary” moja (1) kidato cha Sita (A-Level)
NB: Nakala za vyeti vya nje viambatane na Fomu ya uthibitisho wa tathmini toka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA).

Maombi yafanyike kupitia mtandao wa chuo “ONLINE APPLICATION” katika tovuti ya chuo, yaani: www.makumira.ac.tz

AU

Chuoni, Tumaini University Makumira, Ofisi ya Msajili.
Mwisho wa maombi kupokelewa ni tarehe 30/03/2018.

Msajili,

Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira,
S. L. P. 55, Usa River, Arusha
Simu: 027 254 1034
Simu za Mkononi: 0753 293986 au 0753 008084
Barua pepe: registrar@makumira.ac.tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...