Mhe
Stanislaus Mabula Leo amemkabidhi tenki kubwa la maji Diwani mteule
Kata ya Isamilo Mhe Charlse Nyamasiriri linaloweza kuhifadhi lita 10000
za maji kwa ajili ya shule ya Secondari ya Ole Njoolay iliyopo Kata ya
Isamilo. Hii ni sehemu ya ya utekelezaji wa mkakati wa kuondoka kero za
tatizo la maji katika shule za msingi na sekondari Jiji la Mwanza.
Makabidhiano hayo yamefanyika ofisini za mbunge Jimbo la Nyamagana.
Mwanza kwanza, Tukutane kazini
Tulianza na Mungu, tutaendelea na Mungu
Imetolewa na,
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Nyamagana🇹🇿 @ Mwanza.
Makabidhiano hayo yamefanyika ofisini za mbunge Jimbo la Nyamagana.
Mwanza kwanza, Tukutane kazini
Tulianza na Mungu, tutaendelea na Mungu
Imetolewa na,
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Nyamagana🇹🇿 @ Mwanza.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...