Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Salama Aboud Twalib kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba,Maji na Nishati katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Mahmoud Thabit Kombo kuwa Waziri wa Habari,Utalii na Mambo ya kale katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Afya.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.,Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe.Maudline Cyrus Castico kuwa Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto,katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Juma Makungu Juma kuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba, na Nishati katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe. Choum Kombo Khamis kuwa Naibu Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale, katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa Naibu Waziri wa Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...