Mkuu wa mkoa wa Ruvuma,Christina Mndeme akifuatilia maendeleo ya ujenzi wa kituo cha Afya cha Mtiangimbole kilichopo katika Halmashauri ya Madaba ambapo jumla ya sh. Milioni 500 zimetolewa na Serikali ili kuboresha utoaji wa huduma za Afya. Wananchi wamemshukuru Mhe Rais kwa kuwaletea fedha za mradi huo .RC amewataka viongozi na mafundi kuweka uzalando na kujiepusha na ufanganyifu na amewataka watalaamu kukamilisha mradi huo kwa wakati na kwa viwango vya hali ya juu kwa matokeo chanya.
Home
AFYA
WANANCHI MADABA WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUWALETEA FEDHA ZA MRADI UJENZI KITUO CHA AFYA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...