Na Emmanuel Masaka ,Globu ya Jamii
NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia Mbunge wa Mkuranga Abdalah Ulega ameweka jiwe la msingi katika Zahanati ya Kibamba iliyopo Kata ya Mipeko wilayani Mkuranga mkoani Pwani.
Zahanati hiyo inayojengwa kwa nguvu za wanachi kwa kushirikiana na Mbunge huyo itagharimu zaidi ya Sh. million 98,ambapo mpaka sasa zaidi ya Sh. million 43 zimeshatumika katika ujenzi huo.
Huku zaidi ya Sh.million 50 zikihitahika kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa zahanati hiyo.Aidha katika kuhakikisha zahanati hiyo inakamilika kwa wakati Ulega aliendesha harambee kijiji hapo ambapo zilipatikana Sh. 430800,mifuko ya saruji 35, mabati 19 na ahadi 150000.
Hata hivyo, Ulega alimpongeza Mwenyekiti wa kijiji hicho cha Kibamba kwa kusimamia fedha za ujenzi wa jengo hilo kwa uaminifu."Huyu bwana ni muadilifu na mwaminifu wake ndio umefanikisha ujenzi wa jengo hili,hivyo natoa mwito kwa wanachi kuwa waaminifu pindi mnaposimamia miradi msitumie fedha kwa matumizi yenu," amesema.

Naibu
Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia Mbunge wa Mkuranga Abdalah Ulega
kwa kushirikiana na watendaji mbalimbali akiweka jiwe la msingi katika
Zahanati ya Kibamba iliyopo Kata ya Mipeko wilayani Mkuranga mkoani
Pwani.
Naibu
Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia Mbunge wa Mkuranga ,Abdalah Ulega
aliendesha harambee kijiji hapo ambapo zilipatikana Sh. 430800,mifuko ya
saruji 35, mabati 19 na ahadi 150000
Muonekano wa jego la Zahanati ya Kibamba iliyopo Kata ya Mipeko wilayani Mkuranga mkoani Pwani.
Naibu
Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia Mbunge wa Mkuranga ,Abdalah Ulega
akikagua ujenzi wa shule ya msingi Chatembo iliyopo kata ya Mwandege.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...