Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji, Mustafa Aboud Jumbe akisisitiza jambo katika Mkutano wa mashirikiano kati ya Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji(SMZ) na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta ya Uchukuzi (SMT) uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View Zanzibar. Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano(SMT), Dkt. Leornard Chamuriho.
Baadhi ya Wajumbe waliohudhuria katika Mkutano wa mashirikiano kati ya Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji(SMZ) na Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Sekta ya Uchukuzi (SMT)uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano(SMT), Dkt, Leornard Chamuriho, akifafanua baadhi ya hoja zilizotolewa katika Mkutano wa mashirikiano kati ya Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji(SMZ) na Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Sekta ya Uchukuzi (SMT)uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View Zanzibar.
Katibu Mkuu Wzara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji, Mustafa Aboud Jumbe na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano(SMT), Dkt. Leornard Chamuriho wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Mkutano wa mashirikiano kati ya Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji(SMZ) na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta ya Uchukuzi(SMT) uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...